4 : 67
وَإِذٗا لَّأٓتَيۡنَٰهُم مِّن لَّدُنَّآ أَجۡرًا عَظِيمٗا
Na hapo tunge wapa malipo makubwa kutoka kwetu.
Explanation & meanings · 1
- Na lau kuwa wamesimama juu ya Haki aliyo ilazimisha Mwenyezi Mungu kwa kadri ya uweza wao, Mwenyezi Mungu angeli wapa malipo makubwa kwa fadhila yake.