39 : 70
وَوُفِّيَتۡ كُلُّ نَفۡسٖ مَّا عَمِلَتۡ وَهُوَ أَعۡلَمُ بِمَا يَفۡعَلُونَ
Na kila nafsi italipwa kwa yale iliyo yafanya, na Yeye anayajua sana wanayo yatenda.
Explanation & meanings · 1
- Na kila nafsi itapewa malipo ya a'mali yake, na Mwenyezi Mungu ni mbora wa kujua vitendo vyao.