Skip to content
الصَّافَات /

Aya 86

37 : 86
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 86

أَئِفۡكًا ءَالِهَةٗ دُونَ ٱللَّهِ تُرِيدُونَ

Kwa kuzua tu mnataka miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu?

Explanation & meanings · 1
  1. Si mnazua uwongo tu ulio wazi kwa haya myatendayo, kwa kuwa mnamuabudu asiye kuwa Mwenyezi Mungu? Na si mnataka kuzua uzushi huu bila ya udhuru wowote ila kupenda kwenu tu?