Skip to content
الصَّافَات /

Aya 87

37 : 87
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 87

فَمَا ظَنُّكُم بِرَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ

Mnamdhania nini Mola Mlezi wa walimwengu wote?

Explanation & meanings · 1
  1. Mnamdhania nini huyo ambaye ndiye Mwenye haki ya kuabudiwa kwa kuwa Yeye ndiye Muumba walimwengu wote, mtapo kutana naye na hali nyinyi mmemfanyia washirika wenginewe katika ibada?