Skip to content
الصَّافَات /

Aya 45

37 : 45
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 45

يُطَافُ عَلَيۡهِم بِكَأۡسٖ مِّن مَّعِينِۭ

Wanazungushiwa kikombe chenye kinywaji cha chemchem.

Explanation & meanings · 1
  1. Watawazungukia watoto na chombo chenye kinywaji kilicho toka kwenye chemchem zisio katika.