Skip to content
الصَّافَات /

Aya 46

37 : 46
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 46

بَيۡضَآءَ لَذَّةٖ لِّلشَّٰرِبِينَ

Kinywaji cheupe, kitamu kwa wanywao.

Explanation & meanings · 1
  1. Kinywaji chenyewe ni cheupe kinapo changanywa, na kitamu kwa wenye kukinywa.