37 : 101
فَبَشَّرۡنَٰهُ بِغُلَٰمٍ حَلِيمٖ
Basi tukambashiria mwana aliye mpole.
Explanation & meanings · 1
- Malaika wakampa bishara ya kwamba atapata mwana atakaye pambwa kwa akili na upole.
فَبَشَّرۡنَٰهُ بِغُلَٰمٍ حَلِيمٖ
Basi tukambashiria mwana aliye mpole.