Skip to content
الصَّافَات /

Aya 100

37 : 100
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 100

رَبِّ هَبۡ لِي مِنَ ٱلصَّٰلِحِينَ

Ewe Mola wangu Mlezi! Nitunukie aliye miongoni mwa watenda mema.

Explanation & meanings · 1
  1. Ewe Mola wangu Mlezi! Nipe dhuriya walio wema wa vitendo, wasimamie hii kazi ya wito kuwaitia watu kwako Wewe, baada yangu.