Skip to content
يسٓ /

Aya 73

36 : 73
يسٓ Aya 83
Sura · يسٓ
Kiswahili · Barawani
36 : 73

وَلَهُمۡ فِيهَا مَنَٰفِعُ وَمَشَارِبُۚ أَفَلَا يَشۡكُرُونَ

Na wao wanapata kwao manufaa na vinywaji. Basi je, hawashukuru?

Explanation & meanings · 1
  1. Na wanapata kwa hao vitu vya kuwapa manufaa, kama sufi, na manyoya, na nywele, na ngozi, na mafupa, na vinywaji kutokana na maziwa yao. Je! Wanasahau neema hizi hata wamekuwa hawamshukuru aliye waneemesha?