Skip to content
يسٓ /

Aya 74

36 : 74

Aya 74 of يسٓ (36 : 74). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يسٓ Aya 83
Sura · يسٓ
Kiswahili · Barawani
36 : 74

وَٱتَّخَذُواْ مِن دُونِ ٱللَّهِ ءَالِهَةٗ لَّعَلَّهُمۡ يُنصَرُونَ

Na wameishika miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu ili ati wapate kusaidiwa!

Explanation & meanings · 1
  1. Na washirikina wamefanya miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu wakiwaabudu kwa kutaraji kuwa ati watawasaidia.