Skip to content
يسٓ /

Aya 72

36 : 72

Aya 72 of يسٓ (36 : 72). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يسٓ Aya 83
Sura · يسٓ
Kiswahili · Barawani
36 : 72

وَذَلَّلۡنَٰهَا لَهُمۡ فَمِنۡهَا رَكُوبُهُمۡ وَمِنۡهَا يَأۡكُلُونَ

Na Sisi tukawadhalilishia. Basi baadhi yao wako wanao wapanda, na baadhi yao wanawala.

Explanation & meanings · 1
  1. Na hao wanyama tumewafanya wawatumikie. Wengine basi wanawapanda, na wengine wanawala.