Skip to content
يسٓ /

Aya 70

36 : 70
يسٓ Aya 83
Sura · يسٓ
Kiswahili · Barawani
36 : 70

لِّيُنذِرَ مَن كَانَ حَيّٗا وَيَحِقَّ ٱلۡقَوۡلُ عَلَى ٱلۡكَٰفِرِينَ

Ili imwonye aliye hai, na neno litimie juu ya makafiri.

Explanation & meanings · 1
  1. Hii Qur'ani ni kumtia khofu mwenye moyo ulio hai ulio nawirika kwa akili. Na ipite hukumu ya adhabu kuwashukia wanao ipinga Qur'ani, wenye kukataa uwongofu wake.