Skip to content
آل عِمران /

Aya 6

3 : 6

Aya 6 of آل عِمران (3 : 6). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

آل عِمران Aya 200
Sura · آل عِمران
Kiswahili · Barawani
3 : 6

هُوَ ٱلَّذِي يُصَوِّرُكُمۡ فِي ٱلۡأَرۡحَامِ كَيۡفَ يَشَآءُۚ لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡحَكِيمُ

Yeye ndiye anaye kuundeni ndani ya matumbo ya wazazi kwa namna apendayo. Hapana Mungu ila Yeye, Mwenye nguvu na Mwenye hikima.

Explanation & meanings · 1
  1. Ni Yeye, Mwenyezi Mungu, ndiye anakuundeni, anakupeni sura na hali nyinyi mmo matumboni mwa mama zenu, kwa sura na umbo mbali mbali kama apendavyo Yeye. Hapana Mungu ila Yeye Mwenye nguvu katika ufalme wake, Mwenye hikima katika kuunda kwake.