Skip to content
آل عِمران /

Aya 141

3 : 141
آل عِمران Aya 200
Sura · آل عِمران
Kiswahili · Barawani
3 : 141

وَلِيُمَحِّصَ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَيَمۡحَقَ ٱلۡكَٰفِرِينَ

Na pia ili Mwenyezi Mungu awasafishe walio amini na awafutilie mbali makafiri.

Explanation & meanings · 1
  1. Kwa huku kushindwa kwa muda, Mwenyezi Mungu anawasafisha jamaa Waumini, na anawat'ahirisha kutokana na wale wenye nyoyo mbaya na imani dhaifu, na wenye kueneza moyo wa kushindwa na wasiwasi; na kwa hivyo ndio anaung'olea mbali ukafiri na makafiri wenyewe pia.