3 : 131
وَٱتَّقُواْ ٱلنَّارَ ٱلَّتِيٓ أُعِدَّتۡ لِلۡكَٰفِرِينَ
Na uogopeni Moto ambao umeandaliwa kwa ajili ya makafiri.
Explanation & meanings · 1
- Tahadharini na Moto ulio andaliwa kwa ajili ya makafiri kwa kujiepusha kutafuta kuihalalisha riba.