Skip to content
الشعراء /

Aya 194

26 : 194
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 194

عَلَىٰ قَلۡبِكَ لِتَكُونَ مِنَ ٱلۡمُنذِرِينَ

Juu ya moyo wako, ili uwe katika Waonyaji,.

Explanation & meanings · 1
  1. Juu ya moyo wako ulio tulia kuihifadhi na kuifahamu, na idhibitike katika moyo wako iwe madhubuti isisahaulike, ili upate kuwaonya wakhalifu kwa adhabu ziliomo ndani yake.