23 : 84
قُل لِّمَنِ ٱلۡأَرۡضُ وَمَن فِيهَآ إِن كُنتُمۡ تَعۡلَمُونَ
Sema: Ni ya nani ardhi na viliomo ndani yake, kama nyinyi mnajua?
Explanation & meanings · 1
- Ewe Muhammad! Waambie: Ni nani aliye imiliki ardhi na viliomo ndani yake, tangu watu mpaka viumbe vyote? Kama nyinyi mna ujuzi nijibuni.