Skip to content
المؤمنُون /

Aya 83

23 : 83

Aya 83 of المؤمنُون (23 : 83). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 83

لَقَدۡ وُعِدۡنَا نَحۡنُ وَءَابَآؤُنَا هَٰذَا مِن قَبۡلُ إِنۡ هَٰذَآ إِلَّآ أَسَٰطِيرُ ٱلۡأَوَّلِينَ

Tuliahidiwa haya sisi na baba zetu zamani. Hayakuwa haya ila ni visa vya uwongo vya watu wa zamani.

Explanation & meanings · 1
  1. Sisi tuliahidiwa haya, na pia baba zetu waliahidiwa hayo hayo hapo zamani. Haya si chochote ila ni ahadi za uwongo walizo buni watu wa zamani.