Skip to content
المؤمنُون /

Aya 82

23 : 82

Aya 82 of المؤمنُون (23 : 82). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 82

قَالُوٓاْ أَءِذَا مِتۡنَا وَكُنَّا تُرَابٗا وَعِظَٰمًا أَءِنَّا لَمَبۡعُوثُونَ

Walisema: Je! Tukisha kufa tukawa udongo na mifupa ndio tutafufuliwa?

Explanation & meanings · 1
  1. Katika kukanusha kwao kufufuliwa, walisema: Hivyo sisi tutafufuliwa baada ya kwisha geuka mchanga na mifupa?