23 : 81
بَلۡ قَالُواْ مِثۡلَ مَا قَالَ ٱلۡأَوَّلُونَ
Bali wanasema kama walivyo sema watu wa kwanza.
Explanation & meanings · 1
- Hawakuzingatia hayo, bali waliwafuata wakanushaji walio kwisha tangulia, wakasema kama walivyo sema hao.
Aya 81 of المؤمنُون (23 : 81). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
بَلۡ قَالُواْ مِثۡلَ مَا قَالَ ٱلۡأَوَّلُونَ
Bali wanasema kama walivyo sema watu wa kwanza.