Skip to content
المؤمنُون /

Aya 55

23 : 55

Aya 55 of المؤمنُون (23 : 55). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 55

أَيَحۡسَبُونَ أَنَّمَا نُمِدُّهُم بِهِۦ مِن مَّالٖ وَبَنِينَ

Je! Wanadhani ya kuwa kwa vile tunavyo wapa mali na watoto

Explanation & meanings · 1
  1. Hivyo hawa maasi wanadhani ya kwamba pale Sisi tunapo wawacha wakistarehe na mali na watoto tulio wapa