Skip to content
المؤمنُون /

Aya 54

23 : 54

Aya 54 of المؤمنُون (23 : 54). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 54

فَذَرۡهُمۡ فِي غَمۡرَتِهِمۡ حَتَّىٰ حِينٍ

Basi waache katika ghafla yao kwa muda.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi, ewe Muhammad, waachilie mbali makafiri na ujinga wao na kughafilika kwao, maadamu wewe umekwisha wanasihi, mpaka Mwenyezi Mungu awahukumie adhabu baadae.