Skip to content
المؤمنُون /

Aya 49

23 : 49
المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 49

وَلَقَدۡ ءَاتَيۡنَا مُوسَى ٱلۡكِتَٰبَ لَعَلَّهُمۡ يَهۡتَدُونَ

Na hakika tulimpa Musa Kitabu ili wapate kuongoka.

Explanation & meanings · 1
  1. Na hakika tulimfunulia Musa Taurati apate kuwaongoa watu wake kwa yaliyomo ndani yake ya uwongozi kwendea hukumu na njia za mafanikio.