Skip to content
الأنبيَاء /

Aya 96

21 : 96

Aya 96 of الأنبيَاء (21 : 96). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأنبيَاء Aya 112
Sura · الأنبيَاء
Kiswahili · Barawani
21 : 96

حَتَّىٰٓ إِذَا فُتِحَتۡ يَأۡجُوجُ وَمَأۡجُوجُ وَهُم مِّن كُلِّ حَدَبٖ يَنسِلُونَ

Mpaka watapo funguliwa Juju na Maajuju wakawa wanateremka kutoka kila mlima;

Explanation & meanings · 1
  1. Mpaka itapo funguliwa milango ya shari na ufisadi, wakaingia wana wa Juju na Maajuju wakikimbizana kuteremka milimani na majiani kwa kufanya vitendo vya fujo na rabsha.