Skip to content
الأنبيَاء /

Aya 100

21 : 100

Aya 100 of الأنبيَاء (21 : 100). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأنبيَاء Aya 112
Sura · الأنبيَاء
Kiswahili · Barawani
21 : 100

لَهُمۡ فِيهَا زَفِيرٞ وَهُمۡ فِيهَا لَا يَسۡمَعُونَ

Lao wao humo ni kupiga mayowe, na wala hawatasikia (jenginelo).

Explanation & meanings · 1
  1. Humo watatoa pumzi zitokazo vifuani kwa sauti kama ya mwenye kukabwa, kwa dhiki watayo pata, na hawatasikia la kuwafurahisha.