Skip to content
الكَهف /

Aya 80

18 : 80

Aya 80 of الكَهف (18 : 80). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 80

وَأَمَّا ٱلۡغُلَٰمُ فَكَانَ أَبَوَاهُ مُؤۡمِنَيۡنِ فَخَشِينَآ أَن يُرۡهِقَهُمَا طُغۡيَٰنٗا وَكُفۡرٗا

Na ama yule kijana, wazazi wake walikuwa ni Waumini. Tukakhofu asije watia mashakani kwa uasi na ukafiri.

Explanation & meanings · 1
  1. Ama yule kijana niliye muuwa, baba yake na mama yake walikuwa ni Waumini. Tulikuwa tunajua kuwa angeli ishi angeli kuwa ndio sababu ya ukafiri wao.