Skip to content
الكَهف /

Aya 81

18 : 81
الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 81

فَأَرَدۡنَآ أَن يُبۡدِلَهُمَا رَبُّهُمَا خَيۡرٗا مِّنۡهُ زَكَوٰةٗ وَأَقۡرَبَ رُحۡمٗا

Basi tulitaka Mola wao Mlezi awabadilishie aliye bora zaidi kuliko huyo kwa kutakasika, na aliye karibu zaidi kwa huruma.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi tukataka kwa kumuuwa huyo mtoto Mwenyezi Mungu awape badala yake aliye bora zaidi kwa dini, na mwema zaidi, na mwenye huruma.