Skip to content
الكَهف /

Aya 73

18 : 73
الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 73

قَالَ لَا تُؤَاخِذۡنِي بِمَا نَسِيتُ وَلَا تُرۡهِقۡنِي مِنۡ أَمۡرِي عُسۡرٗا

(Musa) akasema: Usinichukulie kwa niliyo sahau, wala usinipe uzito kwa jambo langu.

Explanation & meanings · 1
  1. Musa akamwambia: Usinichukulie kwa kusahau wasia wako, wala usinikutishe Mashaka katika kutafuta ilimu kwako na ukaifanya hiyo kazi nzito