Skip to content
الكَهف /

Aya 72

18 : 72

Aya 72 of الكَهف (18 : 72). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 72

قَالَ أَلَمۡ أَقُلۡ إِنَّكَ لَن تَسۡتَطِيعَ مَعِيَ صَبۡرٗا

Akasema: Sikukwambia hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami?

Explanation & meanings · 1
  1. Yule mja mwema akasema: Mimi nilikwisha kwambia kuwa hakika wewe hutoweza kusubiri kuwa nami.