Skip to content
الكَهف /

Aya 63

18 : 63
الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 63

قَالَ أَرَءَيۡتَ إِذۡ أَوَيۡنَآ إِلَى ٱلصَّخۡرَةِ فَإِنِّي نَسِيتُ ٱلۡحُوتَ وَمَآ أَنسَىٰنِيهُ إِلَّا ٱلشَّيۡطَٰنُ أَنۡ أَذۡكُرَهُۥۚ وَٱتَّخَذَ سَبِيلَهُۥ فِي ٱلۡبَحۡرِ عَجَبٗا

Akasema (kijana): Waona! Pale tulipo pumzika penye jabali basi mimi nilimsahau yule samaki. Na hapana aliye nisahaulisha nisimkumbuke ila Shet'ani tu. Naye akashika njia yake baharini kwa ajabu.

Explanation & meanings · 1
  1. Kijana wake akasema: Unakumbuka? Pale tulipo pumzika kwenye lile jabali, basi mimi nilimsahau yule samaki. Na hapana aliye nisahaulisha ila Shetani. Na hapana shaka samaki yule katumbukia baharini. Na mimi hakika najistaajabia kusahau kwangu huku.