Skip to content
الكَهف /

Aya 62

18 : 62

Aya 62 of الكَهف (18 : 62). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 62

فَلَمَّا جَاوَزَا قَالَ لِفَتَىٰهُ ءَاتِنَا غَدَآءَنَا لَقَدۡ لَقِينَا مِن سَفَرِنَا هَٰذَا نَصَبٗا

Walipo kwisha pita alimwambia kijana wake: Tupe chakula chetu cha mchana. Kwa hakika tumepata machofu kweli kwa hii safari yetu.

Explanation & meanings · 1
  1. Musa na kijana wake walipo fika mbali na pahala pale, na wakaona njaa na machofu Musa akamwambia kijana wake: Tupe cha kukila. Hakika tumepata taabu na mashaka katika safari yetu hii.