Skip to content
الكَهف /

Aya 64

18 : 64
الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 64

قَالَ ذَٰلِكَ مَا كُنَّا نَبۡغِۚ فَٱرۡتَدَّا عَلَىٰٓ ءَاثَارِهِمَا قَصَصٗا

(Musa) akasema: Hayo ndiyo tuliyo kuwa tunayataka. Basi wakarudi nyuma kwa kufuata njia waliyo jia.

Explanation & meanings · 1
  1. Musa akamwambia: Haya yaliyo tokea ndiyo tuliyo kuwa tunayataka kwa mujibu wa hikima anayo itaka Mwenyezi Mungu. Basi wakarejea nyuma kwa njia yao ile ile waliyo jia, wakizifuata nyayo zao.