Skip to content
الإسرَاء /

Aya 29

17 : 29

Aya 29 of الإسرَاء (17 : 29). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الإسرَاء Aya 111
Sura · الإسرَاء
Kiswahili · Barawani
17 : 29

وَلَا تَجۡعَلۡ يَدَكَ مَغۡلُولَةً إِلَىٰ عُنُقِكَ وَلَا تَبۡسُطۡهَا كُلَّ ٱلۡبَسۡطِ فَتَقۡعُدَ مَلُومٗا مَّحۡسُورًا

Wala usiufanye mkono wako kama ulio fungwa shingoni mwako, wala usiukunjue wote kabisa, utabaki ukilaumiwa muflisi.

Explanation & meanings · 1
  1. Wala usiuzuilie mkono wako kutoa katika mambo ya kheri, ukaufanya kama ulio fungwa pingu za chuma shingoni mwako ukawa huwezi kuukunjua. Wala usiukunjue wote kabisa kwa kutumia ovyo. Utakuja tukanika kwa ubakhili na majuto, au utabaki huna kitu umefilisika kwa sababu ya ubadhirifu na israfu.