Skip to content
الإسرَاء /

Aya 30

17 : 30

Aya 30 of الإسرَاء (17 : 30). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الإسرَاء Aya 111
Sura · الإسرَاء
Kiswahili · Barawani
17 : 30

إِنَّ رَبَّكَ يَبۡسُطُ ٱلرِّزۡقَ لِمَن يَشَآءُ وَيَقۡدِرُۚ إِنَّهُۥ كَانَ بِعِبَادِهِۦ خَبِيرَۢا بَصِيرٗا

Hakika Mola wako Mlezi humkunjulia riziki amtakaye, na humpimia amtakaye. Hakika Yeye kwa waja wake ni Mwenye kuwajua na kuwaona.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika Mola wako Mlezi humkunjulia riziki amtakaye katika waja wake, na humdhikisha katika wao amtakaye. Kwani Yeye anawajua vyema tabia zao, na anaziona hali zao. Basi Yeye humpa kila mmoja wao, pindi akishika njia zake, kwa inavyo wafikiana na hikima yake Mwenyezi Mungu.