Skip to content
النَّحل /

Aya 83

16 : 83

Aya 83 of النَّحل (16 : 83). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 83

يَعۡرِفُونَ نِعۡمَتَ ٱللَّهِ ثُمَّ يُنكِرُونَهَا وَأَكۡثَرُهُمُ ٱلۡكَٰفِرُونَ

Wanazijua neema za Mwenyezi Mungu, kisha wanazikanusha; na wengi wao ni makafiri.

Explanation & meanings · 1
  1. Kupuuza kwao hao makafiri si kwa kuwa hawajui kwamba Mwenyezi Mungu Subhanahu ndiye chanzo cha kila neema zote wanazo zipata, lakini wao hutenda vitendo vya wanao kanya neema, kwa vile hawamshukuru Mola Mlezi kwazo. Na wengi wao wamekazania kuwafuata baba zao katika kumkataa Mwenyezi Mungu, mpaka wakawa wengi wao ndio wapinzani.