Skip to content
النَّحل /

Aya 82

16 : 82
النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 82

فَإِن تَوَلَّوۡاْ فَإِنَّمَا عَلَيۡكَ ٱلۡبَلَٰغُ ٱلۡمُبِينُ

Basi wakikengeuka lilio juu yako wewe ni kufikisha ujumbe waziwazi.

Explanation & meanings · 1
  1. Wakikupuuza, ewe Nabii, hao unao waita wafuate Uislamu, basi wewe huna jukumu kwa mapuuza yao. Haikulazimu wewe ila kufikisha ujumbe kwa uwazi, na hayo umekwisha fanya.