Skip to content
النَّحل /

Aya 67

16 : 67
النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 67

وَمِن ثَمَرَٰتِ ٱلنَّخِيلِ وَٱلۡأَعۡنَٰبِ تَتَّخِذُونَ مِنۡهُ سَكَرٗا وَرِزۡقًا حَسَنًاۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗ لِّقَوۡمٖ يَعۡقِلُونَ

Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili.

Explanation & meanings · 1
  1. Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu tuliyo kuneemesheni kwayo na tukakuwezesheni kuitumia, mnakamua maji yake yakatoka ulevi usio kuwa mzuri, na chakula kilicho kuwa kizuri. Hakika katika haya pana alama yenye kuonyesha uwezo na rehema kwa watu wanao nafiika kwa akili zao. (Kitu kile kile kina faida kikitumiwa kwa sharia za Mwenyezi Mungu za maumbile, na kile kile kikawa na madhara kikitumiwa kinyume na hizo sharia.)