Skip to content
النَّحل /

Aya 58

16 : 58

Aya 58 of النَّحل (16 : 58). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 58

وَإِذَا بُشِّرَ أَحَدُهُم بِٱلۡأُنثَىٰ ظَلَّ وَجۡهُهُۥ مُسۡوَدّٗا وَهُوَ كَظِيمٞ

Na mmoja wao akibashiriwa kwa msichana, uso wake unasawijika,naye kajaa chuki.

Explanation & meanings · 1
  1. Na akiambiwa mmoja wao kwamba amepata mtoto wa kike, uso wake unasawijika kwa huzuni, naye amejaa hasira na amekasirika.