16 : 53
وَمَا بِكُم مِّن نِّعۡمَةٖ فَمِنَ ٱللَّهِۖ ثُمَّ إِذَا مَسَّكُمُ ٱلضُّرُّ فَإِلَيۡهِ تَجۡـَٔرُونَ
Na neema yoyote mliyo nayo inatoka kwa Mwenyezi Mungu. Kisha yakikuguseni madhara mnamyayatikia Yeye.
Explanation & meanings · 1
- Na neema yoyote ikikujieni, basi inatoka kwa Mwenyezi Mungu peke yake. Kisha kikikupateni chochote cha kukudhuruni msiyayatike kwa ukomo wa kelele zenu kwa mwenginewe yeyote isipo kuwa Yeye.