Skip to content
النَّحل /

Aya 54

16 : 54

Aya 54 of النَّحل (16 : 54). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 54

ثُمَّ إِذَا كَشَفَ ٱلضُّرَّ عَنكُمۡ إِذَا فَرِيقٞ مِّنكُم بِرَبِّهِمۡ يُشۡرِكُونَ

Na anapo kuondosheeni madhara mara kundi moja miongoni mwenu linamshirikisha Mola wao Mlezi,

Explanation & meanings · 1
  1. Kisha akiitikia maombi yenu na akakuondoleeni madhara baadhi yenu huisahau Haki ya Mwenyezi Mungu ya Umoja wake na kumsafia ibada Yeye tu, wakamshirikisha Muumba wao na Mlezi wao, na wakawaabudu naye wenginewe.