Skip to content
النَّحل /

Aya 24

16 : 24

Aya 24 of النَّحل (16 : 24). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 24

وَإِذَا قِيلَ لَهُم مَّاذَآ أَنزَلَ رَبُّكُمۡ قَالُوٓاْ أَسَٰطِيرُ ٱلۡأَوَّلِينَ

Na wanapo ambiwa: Kateremsha nini Mola wenu Mlezi? Husema: Hadithi za kubuni za watu wa kale!

Explanation & meanings · 1
  1. Na wakiulizwa hao makafiri wanao jivuna: Mola wenu Mlezi kamteremshia nini Muhammad? Wao hujibu kwa inda: Hayo anayo dai kuwa Mwenyezi Mungu kamteremshia si chochote ila uzushi na upuuzi walio tunga watu wa zamani naye akayanukulu na akawa anayakariri tu.