Skip to content
النَّحل /

Aya 23

16 : 23

Aya 23 of النَّحل (16 : 23). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 23

لَا جَرَمَ أَنَّ ٱللَّهَ يَعۡلَمُ مَا يُسِرُّونَ وَمَا يُعۡلِنُونَۚ إِنَّهُۥ لَا يُحِبُّ ٱلۡمُسۡتَكۡبِرِينَ

Hapana shaka kuwa hakika Mwenyezi Mungu anayajua wanayo yaficha na wanayo yatangaza. Kwa hakika Yeye hawapendi wanao jivuna.

Explanation & meanings · 1
  1. Hapana shaka kwamba Mwenyezi Mungu anayajua wanayo yaficha na wanayo yatangaza, ikiwa ni itikadi au maneno au vitendo. Naye atawahisabu kwa yote hayo, na atawaadhibu kwa kiburi chao. Kwani hakika Yeye Subhanahu hawapendi wanao jivuna hata hawataki kusikia Haki na kuifuata.