Skip to content
النَّحل /

Aya 22

16 : 22

Aya 22 of النَّحل (16 : 22). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 22

إِلَٰهُكُمۡ إِلَٰهٞ وَٰحِدٞۚ فَٱلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ بِٱلۡأٓخِرَةِ قُلُوبُهُم مُّنكِرَةٞ وَهُم مُّسۡتَكۡبِرُونَ

Mungu wenu ni Mungu Mmoja. Lakini wasio iamini Akhera nyoyo zao zinakataa, nao wanajivuna.

Explanation & meanings · 1
  1. Na imekwisha wekwa wazi kwa kila dalili kwamba hakika Mungu wenu anaye pasa mumuabudu peke yake ni Mungu Mmoja ambaye hana mshirika wake. Na juu ya hayo wale wasio amini kufufuliwa na kuhisabiwa, nyoyo zao zinaukataa Upweke wake. Kiburi chao kinawazuia kufuata Haki na kuit'ii.