Skip to content
النَّحل /

Aya 19

16 : 19

Aya 19 of النَّحل (16 : 19). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 19

وَٱللَّهُ يَعۡلَمُ مَا تُسِرُّونَ وَمَا تُعۡلِنُونَ

Na Mwenyezi Mungu anayajua mnayo yaficha na mnayo yatangaza.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Mwenyezi Mungu kwa ujuzi wake ulio kusanya kila kitu, anajua mnayo yaficha na mnayo yadhihirisha. Na hapana chochote kinacho fichikana kwake cha siri yenu na jahari yenu.