Skip to content
النَّحل /

Aya 20

16 : 20
النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 20

وَٱلَّذِينَ يَدۡعُونَ مِن دُونِ ٱللَّهِ لَا يَخۡلُقُونَ شَيۡـٔٗا وَهُمۡ يُخۡلَقُونَ

Na wale wanao waomba wasio kuwa Mwenyezi Mungu hawaumbi kitu,bali wao wameumbwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Huyu Muumba, na Mjuzi wa kila kitu, ndiye Yeye peke yake anaye stahiki kuabudiwa. Ama hayo masanamu mnayo yaabudu, hayo hayawezi kuumba chochote, hata nzi. Bali hayo yenyewe yameumbwa, na pengine mmeyaunda nyinyi wenyewe kwa mikono yenu.