Skip to content
النَّحل /

Aya 17

16 : 17

Aya 17 of النَّحل (16 : 17). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 17

أَفَمَن يَخۡلُقُ كَمَن لَّا يَخۡلُقُۚ أَفَلَا تَذَكَّرُونَ

Ati anaye umba ni kama asiye umba? Basi hebu, hamkumbuki?

Explanation & meanings · 1
  1. Hebu ni sawa kwa mwenye akili nzima baina ya Muweza na asiye weza, hata akamfanya Mwenye kuumba yote haya sawa na asiye weza kuumba kitu? Enyi washirikina! Hivyo hamzioni athari za uwezo wa Mwenyezi Mungu mkazingatia na mkamshukuru kwazo Mwenyezi Mungu?