Skip to content
An-Nahl /

Aya 11

16 : 11

Aya 11 of An-Nahl (16 : 11). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

An-Nahl Aya 128
Sura · An-Nahl
Kiswahili · Barawani
16 : 11

يُنۢبِتُ لَكُم بِهِ ٱلزَّرۡعَ وَٱلزَّيۡتُونَ وَٱلنَّخِيلَ وَٱلۡأَعۡنَٰبَ وَمِن كُلِّ ٱلثَّمَرَٰتِۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗ لِّقَوۡمٖ يَتَفَكَّرُونَ

Kwa hayo Yeye anaizalisha kwa ajili yenu mimea, na mizaituni,na mitende, na mizabibu, na kila namna ya matunda. Hakika katika haya zipo ishara kwa watu wanao fikiri.

Explanation & meanings · 1
  1. Kwa maji yateremkayo mbinguni humea makulima ambayo tunakutoleeni nafaka na mizaituni, na mitende, na mizabibu na mengineyo, katika kila namna ya matunda mlayo mbali yaliyo tajwa. Hakika kuwepo vitu hivi ni alama ya kuwaongoa watu wanao nufaika kwa akili zao, wakazingatia uwezo uliyo patisha hayo.