Skip to content
النَّحل /

Aya 12

16 : 12

Aya 12 of النَّحل (16 : 12). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 12

وَسَخَّرَ لَكُمُ ٱلَّيۡلَ وَٱلنَّهَارَ وَٱلشَّمۡسَ وَٱلۡقَمَرَۖ وَٱلنُّجُومُ مُسَخَّرَٰتُۢ بِأَمۡرِهِۦٓۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَٰتٖ لِّقَوۡمٖ يَعۡقِلُونَ

Na amefanya ukutumikieni usiku na mchana, na jua na mwezi,na nyota zikutumikieni kwa amri yake. Hakika katika hayo zipo ishara kwa watu wenye akili.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Mwenyezi Mungu ameufanya usiku ukutumikieni kwa kuufanya uwe ndio wakati wenu wa kupumzika na mchana ni muwafaka kuhangaika kwenu na kwenda kwa kazi zenu, na jua kukuleteeni joto na mwangaza, na mwezi mpate kujua idadi ya miaka na hisabu, na nyota zinazo kutumikieni kwa amri ya Mwenyezi Mungu ili mpate kujua njia katika kiza. Hakika katika hayo zipo alama na dalili kwa watu ambao wananufaika kwa akili aliyo wapa Mwenyezi Mungu.