Skip to content
النَّحل /

Aya 10

16 : 10

Aya 10 of النَّحل (16 : 10). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 10

هُوَ ٱلَّذِيٓ أَنزَلَ مِنَ ٱلسَّمَآءِ مَآءٗۖ لَّكُم مِّنۡهُ شَرَابٞ وَمِنۡهُ شَجَرٞ فِيهِ تُسِيمُونَ

Yeye ndiye anaye kuteremshieni maji kutoka mbinguni. Katika hayo nyinyi mnapata ya kunywa, na miti ya kulishia.

Explanation & meanings · 1
  1. Yeye ndiye anaye teremsha maji kutoka jiha ya mbinguni. Katika hayo mnapata kunywa, na mengine ndio inapelekea miti kumea. Nanyi hupeleka wanyama wenu wakale kwenye miti hiyo, nao wakupeni maziwa, na nyama, na sufi, na manyoa, na nywele.