Skip to content
النَّحل /

Aya 105

16 : 105

Aya 105 of النَّحل (16 : 105). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 105

إِنَّمَا يَفۡتَرِي ٱلۡكَذِبَ ٱلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ بِـَٔايَٰتِ ٱللَّهِۖ وَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡكَٰذِبُونَ

Wanao zua uwongo ni wale tu wasio ziamini Ishara za MwenyeziMungu. Na hao ndio waongo.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika wanao jasirisha kumzulia Mwenyezi Mungu uwongo ni wale wasio ziamini Ishara za Mwenyezi Mungu, na hao peke yao ndio walio fikilia ukomo wa uwongo. Na wewe, Nabii, si katika watu hao hata wa kutuhumie hivyo.